Announcements 14 Dec 2017

Launch of Online Ticket System

Kampuni ya Huduma za Usafiri wa Majini inatarajia kuzindua Mfumo wa Malipo ya Tiketi utakaomuwezesha mteja kununua tiketi za safari za meli kwa urahisi popote alipo kwa kulipia tiketi yake kwa Wakala aliyesajiliwa na kampuni, kwa njia ya huduma ya mitandao ya simu na kwa kutumia huduma za simu na kibenki.