Latest News 11 Sep 2019

News Images

ZOEZI LA KUHAMISHA MAJI LAELEKEA UKINGONI KUELEKEA HATUA NYINGINE

Zoezi la kutoa maji nje ya uzio utakaotumika kutengenezea Slipway (Cofferdam)Linaendelea kwa kuelekea mwishoni..

Litakapokamilika utatolewa Udongo wote na kisha kupangwa Mawe kabla ya kutengeneza Sehemu ya reli kuelekea Ziwani.