Announcements 14 Jun 2024
VACANCY 1.Principal Marine Engineer I – Nafasi 1 2.Principal Marine Engineer II – Nafasi 1 3.Senior Marine Engineer – Nafasi 3 4.Marine Engineer II – Nafasi 4 5.Principal Deck Officer II – Nafasi 1 6.Senior Deck Officer – Nafasi 2 7.Deck Officer II – Nafa
Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) inatangaza nafasi za kazi za mkataba 23 kwa Kada za Mabaharia katika Mchanganuo ufuatao:
- 1.Principal Marine Engineer I – Nafasi 1
- 2.Principal Marine Engineer II – Nafasi 1
- 3.Senior Marine Engineer – Nafasi 3
- 4.Marine Engineer II – Nafasi 4
- 5.Principal Deck Officer II – Nafasi 1
- 6.Senior Deck Officer – Nafasi 2
- 7.Deck Officer II – Nafasi 6
- 8.Diver II – Nafasi 5
Mwisho wa Maombi ni tarehe 27 Juni 2024
Unaweza Download Tangazo hapo chini ili kufahamu taratibu na vigezo.