MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIWA KATIKA SIKU YA TATU YA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU 3 MKOANI MWANZA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizinduzi Chelezo, Meli ya New Victoria hapa kazi Tu na New Butiama Hapa kazi Tu pamoja na kushuhudia kusainiwa kwa Mikataba Mitano ya Ujenzi na Ukarabati wa Meli -Mwanza South, Mkoani Mwanza
[15-Juni-2021]