04 Aug 2023 RAIS SAMIA AAHIDI KUWA WA KWANZA KUPANDA MV. MWANZA Read More
17 Feb 2023 MV. MWANZA ‘HAPA KAZI TU’ YASHUSHWA ZIWANI Read More
18 Jan 2023 Makubaliano ya CCTTFA na MSCL kuinua ufanisi sekta ya usafiri kwa njia ya maji Read More
18 Jan 2023 Prof Mbarawa Apongeza MV Mwanza Kufikia 80% ya Ujenzi Read More
Invitation for Tender Wagon and Barge Building
Invitation for Tenders Catering Services, supply of bird sheets, Pillow Cover,Uniforms and safety geers
RE-ADVERTISED:-INVITATION FOR CONSULTANCY SERVICES FOR THE REVIEW OF DESIGN AND SUPERVISION OF WORKS FOR THE CONSTRUCTION OF PASSENGER SHIP IN LAKE VICTORIA.
GENERAL PROCUREMENT NOTICE (GPN) FOR THE YEAR 2019/2020
How Can I Purchase Ticket Online View More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kuwa wa kwanza kuipanda Meli mpya ya MV. Mwanza Hapa Kazi Tu mara tu ujenzi wa meli hiyo utakapokamilika.
Zoezi la kushusha meli moja ya MV. Mwanza ‘Hapa Kazi Tu’ limefanyikwa vyema kwa asilimia 100 na ujenzi wake umefikia asilimia 82.
Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) na Wakla wa Uwezeshaji wa Usafiri wa Ushoroba wa Kati (CCTTFA) leo tarehe 17 Januari, 2023 zimesaini Makubaliano ya Ushirikiano (Memorandum of Understanding – MoU) yatakayodumu kwa muda wa miaka mitatu.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Makame Mbarawa (MB) amewapongeza Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) kwa Utekelezaji unaoridhisha wa Mradi wa Ujenzi wa Meli ya Kisasa ya MV Mwanza inayojengwa kwa gharama ya Bilioni 108 itakapokamilika.
Serikali imeiagiza Bodi mpya ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL), kusimamia kwa karibu taasisi hiyo ili miradi inayotekelezwa inakamilika kwa wakati na tija.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezielekeza mamlaka zinazohusika kuhakikisha wanawaweka kwenye kanzi data wahandisi wakitanzania wanaoshiriki katika ujenzi wa meli ya MV Mwanza ili waweze kusaidia katika miradi mingine ya ujenzi wa meli nchini.