Frequently Asked Questions 14 Dec 2017

How Can I Purchase Ticket Online

Ili kupata tiketi kwa njia ya mtandao fanya yafuatayo:

  • Nenda Kwenye tovuti ya Kampuni www.mscl.go.tz
  • Ingia kwenye mfumo
  • Chagua eneo unapotoka na unapokwenda
  • Chagua tarehe ya safari, aina ya urai na idadi ya wasafiri
  • Kisha bonyeza kitufe cha Tafuta
  • Chagua sehemu ya kukaa